AMBER RUTTY AFUNGUKA KUHUSU AMBER LULU, AGOMA KUOMBA MSAMAHA PICHA ZA UCHI ATOA USHAURI MZITO KWA WANAWAKE

by - Sunday, August 05, 2018AMBER RUTTY AFUNGUKA KUHUSU AMBER LULU, AGOMA KUOMBA MSAMAHA PICHA ZA UCHI ATOA USHAURI MZITO KWA WANAWAKE
Leo katika exclusive ya Felix Red tulipata muda wa kupiga story na Amber Rutty ambae alitueleza Mengi sana ikiwa ni pamoja na wanaomfananisha yeye na AMber Lulu, Pia amefunguka kuhusu picha za uchi alizowahi kupiga zaman na ameweka wazi kwamba hajutii. Amber rutty pia ametutambulishia Mpenzi wake na akasema huyo ndo anaempa support kubwa kwenye game la muziki.
mwisho Amber Rutty ametoa ushauri mzito sana kwa wanawake wenzake.

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM