DOWNLOAD BURE APPLICATION ZA KULIPIA KWA NJIA HII RAHISI

by - Monday, July 30, 2018

  Habari na karibu Felix Red na Felix Mtanzania leo tunakwenda kukupa somo ni jinsi gani unaweza kudownload app za kulipia bure kabisa kwenye Iphone yako. Yes tunaanza na iphone na video inayofuata itahusisha Android.

    Katika Appstore app nyingi sana zenye ubora huwa ni za kulipia na hivo kumfanya mtu wa hali ya chini kushindwa  kutumia. Kumbuka kwamba kila kizuri kinagharamiwa ila kama umeshindwa kabisa kugharamia basi kuna njia rahisi hii hapa. fuatana nami hatua kwa hatu katika video hii hapa chini ili uweze kudownload app hizo bureeee kabisa.
LINK ZOTE ZIPO HAPA
DOWNLOAD HAPA

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM