ZARI AMISI PENZI LA DIAMOND PLATNUMZ, ASHINDWA KUJIZUIA

by - Monday, April 02, 2018   Akiwa anakula bata la kimataifa, Mwanamama Mfanyabiashara Zari the Boss Lady ameshindwa kuzizuia hisia zake za furaha kwa mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) baada ya kujikuta anaenjoy mangoma makali ya Baba wawili wake huyo.


    Nchini Dubai zari amekwenda na Watoto wake aliozaa na marehem Ivan Don na pia ameambatana na mdogo wake wa kiume ambae kwenye video ameonekana akiweka maneno makali kama B!tčh na kadhalika.
Enjoy

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM