KIJANA ASHITAKIWA KWA KUFANYA MAPENZI NA WABUNGE 13

by - Wednesday, April 04, 2018

  Kijana Waziri Benson Chacha Anshikiliwa na Jeshi la polisi nchini Kenya na anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa kutapeli mawaziri na wabunge nchini hapo. Waziri Benson Chacha ametapeli zaidi ya shilingi 6000,000. Pia kijaa huyu anasemekana amefanya mapenzi na wabunge 13 wakike katika Bunge hilo.

UPDATES ZITAFATA BAADA YA MUDA MFUPI

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM