ZIFAHAMU MBINU RAHISI ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.

by - Friday, September 22, 2017


Hello na karibu katika the countdown ya FelixTv na leo tunakuletea tiba asilia. Fahamu jinsi ya kujitibu nguvu za kiume kiurahisi na kiasilia. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa wanaume wengi wanasumbuliwa na tatizo hili na hii hutokana na lifestyle tunayoishi. Tupate tiba alafu somo lijalo litakua jinsi ya kuepuka.

     1.KITUNGUU SWAUMU, GARLIC


Chukua punje 8 mpaka 10 za kitunguu swaumu na uzimenye na katakata au twanga na kinu. kisha changanya na maji na unywe Glassi 2 kutwa mara 2. fanya hivi kwa muda wa siku 5 mpaka 7.je unazijua nchi zinazoongoza kwa kuwa na vibamia?


 2. TIKITI MAJI (WATER MELON)

Kuwa na mazoea ya kula tikiti maji kila siku huku ukiwa na mazoea ya kutafuna na zile mbegu zake


fahamu faida ya mavuzi na kwa nini unashauriwa usinyoe

3.UGALI WA DONA

Kula ugali wa dona kila siku. Ni muhimu kuacha mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho mbalimbali muhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume.  Kama dona inakukera fanya hivi, chukua debe la mahinidi kilo 10 na uchanganye na unga wa ngano kilo 3 na usage pamoja. Ugali wake hua mtamu sana na unaleta hamu ya kula.


unawatambua wanawake waliotajirika kwa kuuza bikra zao?4. CHUMVI YA MAWE


     Chumvi ya mawe ya baharini ambayo haijasafishwa wala kupitia kiwandani ina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako vya kila siku.

zitambue style tamu kwenye mapenzi ukiwa na mkeo/mmeo5.MAJI

    Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiria kiu. mwili wako unahitaji glasi 8 mpaka 10 kwa siku. Maji ni muhimu katika kuongeza damu na pia kudilute chumvi ya ziada mwilini.yatambue mambo tano ya ajabu kuhusu papuchi/uke sasa6.ASALI NA MDALASINI


      Chukua lita moja ya asali safi ambayo haijachakachuliwa, changanya na vijiko 4 vya mdalasini ya unga,  changanya vizuri pamoja, lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila unapienda kulala. Fanya hivi kwa muda wa mwezi mmoja.


7.TANGAWIZI

      Tangawizi inafahamika sana kwa kusisimua mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Pia tangawizi husaidia kusukuma damu kuelekea via vya uzazi (uke na uume).  Tangawizi yaweza liwa mbichi, ukaitwangwa au kuichemshia kwenye chai.
Ulaji wa tangawizi nusu saa kabla ya show unasaidia sana kuongeza perfomance ya mzee.

jifunze hapa sifa kadhaa za gegedoASANTE KWA KUWA NASI UNGANA NASI KWA KUSUBSCRIBE KWA EMAIL ILI KILA TUNAPOPOST UPATE TAARIFA, PIA TUFUATE YOUTUBE KWA VIDEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM