TANZANIA TUMUOMBEE TUNDULISSU

by - Friday, September 08, 2017

       Najua wapo wanaofurahia hili swala na hata wapo wanaofika mbali sana na kusema kwa nini hajapotea/kufa kabisa, well Mungu hajapanga na haliwezi kutokea kama haikupangwa. Wazalendo wapenda nchi hii tunajiunga pamoja na kila mmoja kwa nafasi yake kupiga Goti na Kumuomba Mungu kwa imani yake asaidie

 kutuponyea kiongozi wetu na Baba wa Familia.


      WATANZANIA NAOMBA KWA WATAKAOONA INAFAA TUSAMBAZE NA KUIWEKA PICHA HII KATIKA STATUS ZETU NA PROFILE ZETU ILI KUONYESHA UMOJA WETU KATIKA SWALA ZIMA LA AFYA YA MH. TUNDU ANTIPAS LISSU.

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM