SWALI KWA HAMISA MOBETO

by - Tuesday, September 19, 2017

Hamisa mobeto inasemekana ana mtoto wa Diamond. Diamond kakataa mtoto. Hamisa ameforce kweli kingi mpaka na kubadili jina la mtoto huko insitagramu. sasa mi nauliza
tu.... ivi uno mtoto angekua amezaa na mnyakyusa mimi apa angelazimisha pia kua mtoto ni wangu na kumpost mitandaoni kwa jina langu la kisukuma kwa Dulla Anshikile Mwakitako au angetulia na kukubali kua single mother?

wanaume jifunzeni somo capa. vita na mwanamke haitakuacha salama we jisifie tu kumpangua mashambulizi kitandani wana timing hao

#HAMISA tukienda lodge simu na pochi unaacha reception

You May Also Like

0 comments

POST ZETU ZA INSTAGRAM